Kisa Vitochi FIFA Yaishushia Rungu Senegal
Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limelitoza faini shirikisho la soka la Senegal kiasi cha Tsh (418) Milioni kwa kosa la mashabiki wa timu ya taifa ya Senegal πΈπ³ kuwamulika na tochi za laser Wachezaji wa timu ya taifa ya Egypt πͺπ¬ wakati wa mechi ya kufuzu kombe la Dunia 2022 iliyofanyika nchini Senegal πΈπ³
.
.
FIFA pia imewafungia kucheza bila mashabiki kwenye michezo inayofuata.
Comments
Post a Comment