Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes
#Repost @issamasoud with @make_repost
・・・
Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes]
Tajiri na mmiliki wa Chelsea FC Roman Abramovich alijiwekea Kinga ya mkopo kwa Chelsea FC yenye thamani ya $2 billion. Na mwaka uliopita aliongeza tena mkopo wa $26 milion.
Ikumbukwe Abramovich aliinunua Chelsea kwa $190 million mwaka 2003.
Kwa mujibu wa Forbes] mpaka mwaka 2021 unaisha Chelsea FC ilikuwa na thamani ya $3.2 billion.
Hivyo basi ikatokea Serikali ya Uingereza inazuia mali zake kutokana na kuwekewa vikwazo kwa sababu ya vita kati ya Ukraine vs Russia, Abramovich itabidi alipwe cash $2 bilioni ili aweze kuachia Club ya Chelsea umiliki wake.
Na kama akiamua kuweka sokoni Club hiyo inahitajika mnunuzi atakaekuja kununua hiyo Club alipe market value kwa maana ya $3.2 billion hii ikiwa ni pamoja na deni la Abramovich la $2 bilion.
Vinginevyo Club itaingizwa kwenye ufilisi sababu haina uwezo wa kulipa hiyo fedha Cash.
Comments
Post a Comment