Kamati Ya Masaa 72 Uso Kwa Uso Na Jemedari Said Kazumari
-Kamati ya masaa 72 imeiomba mamlaka iliyomteua Jemedari Said Kazumari itengue uteuzi wa kuwa mjumbe wa kamati ya masaa 72 na imepeleka shauri lake kwenye kamati ya maadili kama kiongozi na mwanafamilia wa mpira wa miguu kutokana na kuandika kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akitumia picha za jongefu na mnato akitumia lugha kali na yenye kushusha hadhi ya ligi kuu akitoa maoni yake kwenye mchezo wa ligi kuu kati ya Dodoma Jiji na Yanga SC kwa kusema kuwa ligi kuu ya NBC ni dhaifu.
Comments
Post a Comment