BREAKING NEWS!! Simba Sc Imeachana Na Bernard Morrison Rasmi
Klabu ya Simba SC imeachana rasmi na Mshambuliaji wao wa Kimataifa wa Ghana 🇬ðŸ‡,Bernard Morrison Baada ya kumpa likizo ya mda mrefu isiyo na kikomo mpaka Mkataba wake na Simba utakapoisha.
Comments
Post a Comment