Orlando Pirates Simba Sc Wametufanyia Fitina
Kocha wa klabu ya Orlando Pirates πΏπ¦ Mandla Nsikazi ameilalamikia klabu ya Simba sc kwa kuwapa pikipiki moja ya ESCORT katika jiji lililo na harakati nyingi na kupelekea kupata tabu njiani.
.
.
Amesema mambo hayo watalipa nchini kwao South Africa πΏπ¦
Comments
Post a Comment