JAMHURI KIHWELO JULIO BABA MZAZI ATEMA CHECHE
MICHEZO Kocha Msaidizi wa Namungo, Jamhuri Kihwelo 'Julio' amesema makosa machache yaliyofanywa na mabeki wao ndiyo yaliyowafanya wafungwe bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar juzi kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba mkoani Kagera kwenye mechi ya raundi ya tano ya Kombe la FA.
Comments
Post a Comment