Orlando Pirates Media Zenu Zinadanganya

 Povu la kocha wa Orlando Pirates baada ya Mchezo dhidi ya Simba sc kumalizika.


"Media zenu zote hapa zinaenda kudanganya na kuandika uongo, semeni ukweli, Simba hakustahili kushinda"


"Simba wamebebwa, hawajatutreat vizuri tangu tumefika, penati waliyopewa hawakustahili, VAR imewekwa lakini haijatumika katika maamuzi"

.

.

"Kwa nini mnafanya haya kwa Waafrica wenzenu ? Je tutainua soka la Africa kwa namna hii ?! Na tunatoka hapa tukijisifu Simba kashinda, Simba hawajashinda referee ndiye amefanya Simba washinde"


"Kama kweli Simba ni mabingwa wa kuhonga katika soka, ikibainika wanahonga mpaka waendesha (VAR) tutafika (CAF), mpaka (FIFA) tena wanaweza fungiwa mechi za Confederations of African Football (CAF)"

.

.

"Mliyotufanyia hapa kuanzia Airport, Stadium hadi hotelini, Je mtafurahi tukiwafanyia haya pia mkija South Africa ? Tunarejea nyumbani kujipanga sisi hatutalipiza"

.

.


🔍 Mcikazi kocha wa Orlando Pirates akiongea kwa ukali na wanahabari.


Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes