Orlando Pirates Kuwachunguza Simba Sc
Orlando Pirates πΏπ¦ wanafanya kila linalowezekana kupata matokeo chanya nchini Tanzania πΉπΏ wiki ijayo.
Klabu hiyo ilipeleka baadhi ya mawakala kwenye mchezo wa Coastal Union dhidi ya Simba uliochezwa jijini Tanga.
Watatuma tena baadhi ya watu kutazama mechi dhidi ya Polisi leo.
Jumanne, kutakuwa na watu jijini Dar es Salam kupanga mahali pa kulala na kufanya mipango yote muhimu kabla ya timu kuwasili.
Comments
Post a Comment