Orlando Pirates Kutua Dar Es Salaam Leo
nafahamishwa; Orlando Pirates πΏπ¦ watawasili Dar es Salaam leo jioni kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Simba SC πΉπΏ Jumapili.
Pia; VAR ya mchezo huo itafungwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. π¨
Comments
Post a Comment