ORLANDO PIRATES KUMKOSA DEON HOTTO DHIDI YA SIMBA SC.
Wakati Kanoute na Onyango wakirejea Kikosini, Simba Sc wanatarajiwa kumkosa kiungo wao wa ushambuliaji Bernard Morisson kwenye mchezo ujao dhidi ya Orlando Pirates utakaopigwa Soweto wiki ijayo,
Maharamia hao 'Orlando' nao watamkosa Deon Hotto baada ya kuoneshwa kadi ya tatu ya njano itakayomfanya akose mchezo huo.
Comments
Post a Comment