Ni Simba Sc Vs Orlando Pirates Kwa Mkapa

 -Leo klabu ya Simba SC inacheza mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini mchezo ambao utachezwa kuanzia majira ya saa 1:00 usiku kwenye dimba la Benjamini Mkapa. 


-Simba wana kila sababu ya kushinda mchezo wao wa leo tena kuanzia magoli 2+ ili kuwe rahisi kufuzu nusu fainali ya kombe la shirikisho hadi fainali watanzania hawana budi ya kuiombea sana Simba Ili ipate ushindi wa kuanzia magoli mawili na kuendelea.


Kila la Kheri Simba 

Kila la kheri Tanzania


Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes