Mwamnyeto Njia Panda Yanga Au Simba Sc
“Simba wanasumbua sana nisiseme uongo, wamekuwa wakiibuka na ofa kubwa kubwa.. ofa yao ni kubwa hasa ambayo nayo tumeamua kuichukua na kuendelea kuifanyia kazi"
“Ukiacha Simba, Bakari ana ofa nyingi sana, kuna ofa tatu au nne hivi, kuna klabu ya Ugiriki, Malta na nyingine moja bado tunazungumza nazo.”
•Meneja wa Mwamnyeto, Kassa Mussa-Via Mwanaspoti
Comments
Post a Comment