Mino Raiola Hajafariki Yupo ICU
🎙Kwa Mjibu wa mtu wa karibu wa Mino Raiola, José Fortes Rodriguez amekiambia chombo Cha habari Cha Uholanzi, Dutch media Kuwa Mino Raiola hajafariki dunia bali ana hali mbaya sana:
"Yupo kwenye hali mbaya,Lakini hajafariki dunia"
(Source: @sgevans)
Comments
Post a Comment