Chico Ushindi Khali Tete Ndani Ya Yanga Sc
- Winga wa klabu ya Yanga Chico Ushindi amekuwa aki struggle kwa muda bila watu wengi kujua anasumbuliwa na nini.
.
.
Kwa mujibu wa daktari wa ya Yanga sc Yousef Ammar 🇹🇳 ameweka wazi kuwa Chico (26) 🇨🇩 kwa vipindi tofauti alikuwa akisumbuliwa na maumivu ya nyama za paja.
.
.
Amesema wamelifanyia kazi suala hilo na sasa Chico ushindi amepona kwa 100% na yuko tayari kwa ajili ya michezo inayofuata.
Comments
Post a Comment