CEO wa klabu ya Simba sc Barbara Gonzalez awahusisha Yanga ishu ya Orlando Pirates
CEO wa klabu ya Simba sc Barbara Gonzalez awahusisha Yanga ishu ya Orlando Pirates.
▪️Amekanusha shutuma zote alizotoa kocha msaidizi wa Orlando Pirates Mandla Mcikazi kuhusu klabu ya Simba sc.
▪️Amesema media za Yanga zinatengeneza propaganda kuichafua Simba sc.
▪️ Barbara Gonzalez mesema, kocha Mcikazi anatafuta 'sympathy' kupalilia kibarua chake Orlando Pirates πΏπ¦
▪️Amesema watatoa malalamiko yao rasmi kuhusu defamatory statements.
π Lorenz Kohler Journalist πΏπ¦
Comments
Post a Comment