Cedric Kaze Simba Sc Ni Timu Bora

 Kwanza kabisa, Sisi kama club tunajua umuhimu wa hii mechi na pia tunajua umuhimu wa kupata alama tatu kulingana na msimamo wa Ligi ili tuweze kuongeza tofauti na hii inatupa ari ya kujiamini na kuendelea kufanya vizuri zaidi kwenye Ligi.


Pili, tunafahamu kabisa kuwa tunaenda kucheza na timu bora ambayo imetoka kucheza mashindano barani Afrika na kutolewa kwenye hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho, which is a very good achievement na wana wachezaji bora na wazoefu kwenye Ligi hivyo tuna amini utakuwa mchezo mzuri na nina ahidi sisi tutakuwa kwenye performance nzuri ili tuweze kupata alama tatu hapo kesho.


Cedric Kaze,

Kocha Msaidizi - Young Africans.



Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes