YANGA YAKOMBA TUZO ZOTE.
Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Said Ntibazonkiza 🇧🇮 ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya NBC 🇹🇿
Pia Kocha Mkuu wa Klabu hiyo,Nasreddine Nabi 🇹🇳ametwaa tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi February.
Comments
Post a Comment