Yanga Sc Vs Kmc Mambo Ni Mengi Mda Ni Mchache
- Kuelekea mchezo wa kesho Yanga dhidi ya KMC kutakuwa na surprise nyingi kabla ya mchezo utakaochezwa saa 1 usiku.
- Klabu ya Yanga imeidedicate mechi hiyo kwa Rais Samia Suluhu ambaye ametimiza mwaka mmoja tangu aingie madarakani.
- Utachezwa mchezo wa utangulizi baina ya Viongozi wa Yanga na GSM wakiongozwa na Haji Manara dhidi ya timu ya Bongo fleva.
- Utachezwa mchezo mwingine wa utangulizi, Yanga princess v Ilala queens.
- Huenda Rais Samia Suluhu akahudhuria mchezo huo, pia kutakuwa na burudani zingine za wasanii.
Comments
Post a Comment