Yanga Sc Kucheza Mchezo Wa Kimataifa Na Somalia
- Klabu ya Yanga sc itacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa Jumamosi hii March 12, 2022 na timu ya taifa ya Somalia πΈπ΄ saa 1 isiku Azam complex.
- Lengo la mchezo huo ni kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia taasisi ya ALI KIMARA / Ali Kimara Rare disease foundation.
"Sisi kama klabu ya Yanga kwa kushirikiana na GSM foundation tutachangia taasisi ya Ali Kimara na kuwaelimisha Watanzania wapate uelewa mpana juu ya maradhi haya adimu"
π Haji Manara msemaji wa Yanga.
Comments
Post a Comment