WANANCHI mmesikia mnadaiwa __!!
MTIBWA: YANGA HAWAJALIPA PESA YA MSHERI
.
"Yalifanyika makubaliano ya pande mbili tukiamini Yanga ni watu wazima na watatelekeza mkataba unavyosema, lakini mpaka sasa hakuna hata moja lililofanyika.
.
“Tangu January mpaka sasa hatujaona kitu. Mbaya zaidi Mawasiliano yetu na wao sio mazuri na hatukutaka haya mambo yafike kwenye Vyombo vya Habari, lakini kinachofanyika sasa ni sisi kuwafuata wao, lakini ilitakiwa wao watufuate sisi.
.
“Hii ni kama tunawambeleza juu ya malipo ya Abuutwalib Mshery. Tunaendelea kuwasubiri na tutakuwa wapole, lakini hawajafanya vile ambavyo tulitarajia. Mtibwa Sugar tumetoa vijana wengi kwenda Yanga, kikubwa watazame makubaliano yetu na wao yanasemaje" - Thobias Kifaru (Msemaji wa Mtibwa Sugar)
.
WANANCHI mmesikia mnadaiwa __!!😂
Comments
Post a Comment