Wallace Karia Wachambuzi Wanaua Mpira
Rais wa shirikisho la soka Tanzania !
"Kuna wanaojiita wachambuzi, sijui uchambuzi wamesomea wapi. Kusema ukweli katika watu ambao hawautendei haki mpira wetu ni WACHAMBUZI"
"Mimi ninaona wao (Wachambuzi) ndio wakati mwingine wanaopotosha na kuleta taharuki" 🔍 Wallace Karia
Comments
Post a Comment