Wachezaji wa Simba sc wanaomaliza mikataba yao msimu huu ;
- Beki wa klabu ya Simba sc Joash Onyango (28) 🇰🇪 amekataa ofa mpya aliyopewa na klabu ya Simba kwa ajili ya kuongeza mkataba mpya katika klabu hiyo.
- Beki huyo anataka aongezewe dau ili asaini mkataba mpya kwa wekundu wa Msimbazi ... Wakati huohuo klabu ya Orlando Pirates 🇿🇦 imeonesha nia ya kutaka saini yake.
.
.
Wachezaji wa Simba sc wanaomaliza mikataba yao msimu huu ;
🇹🇿 Aishi Manula.
🇰🇪 Joash Onyango.
🇷🇼 Meddie Kagere.
🇨🇩 Chriss Mugalu.
🇹🇿 Mzamiru Yassin.
🇬🇠Bernard Morrison.
🇹🇿 Erasto Nyoni.
🇹🇿 Ibrahim Ame
🇹🇿 Said Ndemla.
🇨🇮 Pascal Wawa.
🇹🇿 Hassan Dilunga.
Comments
Post a Comment