TUNAZITAKA POINTI TATU DHIDI YA SIMBA .


Kocha Mkuu wa Biashara United, Vivier Bahati amefunguka kuelekea mchezo dhidi ya Simba SC:

.

“Hii mechi itakuwa ngumu sana kwa sababu tunacheza na Simba ambayo imetoka kupoteza mchezo wao wa kimataifa na wanapambana kutafuta pointi muhimu ili kujiweka katika nafasi ya kutetea ubingwa,” amesema Vivier na kuongeza;

.

"Tunahitaji kuanza vizuri mzunguko wa pili kwa kutafuta pointi dhidi ya Simba kama ilivyokuwa katika mchezo wa duru la kwanza.”



Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes