Simba Sc Yaingia Mawindoni Wachezaji Wanne Watupiwa Vilango
“Mpango wetu katika dirisha lijalo, tutasajili wachezaji wanne wa daraja la juu wa kimataifa ambao ni mastraika wawili, winga mmoja na beki wa kati mmoja. Ni wachezaji hasa na watakuwa na mchango mkubwa kwa timu,” - Salim Abdallah "Try Again", Mwenyekiti wa Bodi ya klabu ya Simba SC.
Comments
Post a Comment