Simba Sc Shomari Kapombe Pumzika Kwanza

 Beki wa Klabu ya Simba SC,Shomary Kapombe ataukosa Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Kati ya Simba SC dhidi ya Dodoma Jiji baada ya kupewa mapumnziko ya siku tano na Madaktari wa Simba SC licha ya kuwa yupo fiti. 


Kapombe hapo Juzi aliruhusiwa kutoka hospitali alipopelekwa usiku baada ya kuumia kwenye mchezo wa Ligi Kuu (NBC Premier League) dhidi ya Biashara.


Baada ya vipimo Kapombe alibainika kuwa hajapata madhara yoyote ya kichwa yuko salama tofaut na ilivyotarajiwa


Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes