SIMBA SC KUWAKOSA NYOTA SITA DHIDI YA BIASHIARA;
Katika mchezo wa leo Simba Sc itawakosa wachezaji sita kutokana na kuwa majeruhi. Nyota hao ni:
▪️Aishi Manula
▪️Chris Mugalu
▪️Kibu Denis
▪️Hassan Dilunga
▪️Jonas Mkude
▪️Sadio Kanoute.
NOTE:MUGALU na KIBU ambao walikuwa nje ya uwanja kwa muda, tayari wameanza mazoezi, na utimamu wao wa mwili ukiwa sawa wataanza kushuka dimbani.
Comments
Post a Comment