SHIRIKISHO LA SOKA LA URUSI YAILALAMIKIA FIFA NA UEFA.

 SHIRIKISHO LA SOKA LA URUSI YAILALAMIKIA FIFA NA UEFA.


"Shirikisho la soka la Urusi limesikitishwa na taarifa ya kutoka FIFA pamoja na UEFA ya kuwatoa kushiriki kombe la dunia na kusimamisha ushiriki wa timu ya taifa na vilabu kwenye mashindano  yanayoandaliwa na vyama hivyo vya soka duniani".


"Chama cha soka Urusi kinaona hatua hizo zilizochukuliwa juu yao ni ya uonevu kwao".


"mpira unahusisha jopo kubwa la wachezaji makocha,waamuzi na viongozi wa vilabu kutoka nchi tofauti na wakiwa na mikataba".


"Pia tutakua tunawakosea mamilioni ya mashabiki waliokua Urusi pamoja na nje ya Urusi ambao wanafatilia timu za Urusi pamoja na wachezaji wa kwenye mataifa yao".


Uongozi wa Sparkat Moscow ✍️

"Tumesikitishwa sana na taarifa kutoka UEFA ya kutolewa katika mashindano ya UROPA tuliyokua tunashiriki".


"Wachezaji wetu walitumia nguvu kubwa,akili nyingi pamoja na umakini wa hali ya juu lakini ndiyo mambo ya soka hatuwezi kupingana nayo".



Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes