Romyjons Watanzania Nisameheni Nimekosa Mimi Nimekosa Mimi

 @romyjons Ameomba Radhi Kwa Ndugu Jamaa Na Marafiki Kwa Yale Yote Yanayoendelea Katika Mitandao Ya Kijamii Ambayo Yanamuhusu Yeye Moja Kwa Moja.

Kwenye Insta Story Yake Ameandika..........""Naomba Radhi Kwa Ndugu, Jamaa Na Marafiki Zangu Pamoja Na Mke Wangu Na Watanzania Wote Kwa Ujumla ...Kwa Yote Yanayoendelea Mitandaoni....Yallah Atusamehe Madhambi Yetu Ya Kusudi Na Yasiyo Kusudi...Na Atujaalie Mwisho Mwema Inshalaah"


Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes