Robo Fainali Ya Uefa Itakuwa Hivi
🚨Robo Fainali Ya Uefa Itakuwa Hivi
✍️Chelsea Vs Real Madrid
✍️Mancity vs Atletco Madrid
✍️Benfica vs Liverpool
✍️Villa Real vs Bayern Munich
✍️Mshindi baina ya Man city na Atletco atacheza na mshindi baina ya Chelsea na Madrid kunako nusu Fainali .
✍️Mshindi Baina ya Benfica na Liverpool atacheza na mshindi baina ya Villareal na Bayern Nusu fainali .
Robo fainali itaanza tar 05 na 06 Aprili 2022 .#NYAKAHIYO.
UBINGWA MSIMU HUU UNAUONA WAP?
Comments
Post a Comment