ROBERTO CARLOS AFUNGA GOLI LAKE LA KWANZA BULL IN THE BARNE FC:
ROBERTO CARLOS AFUNGA GOLI LAKE LA KWANZA BULL IN THE BARNE FC:
Nguli wa Brazil na mshindi wa kombe la Dunia Roberto Carlos alicheza mechi yake ya kwanza klabu yake mpya ya Bull In The Barne FC inayoshiriki Ligi ya ya Jumapili ya wilaya huko England.
Katika mchezo uliochezwa siku ya Ijumaa Bull In The Barne ilifungwa 4-3 na Harlescott katika mchezo wa kirafiki ambapo Carlos alifunga moja ya magoli kwa mkwaju wa penalti.
Good news
ReplyDelete