Putin Marekani Yumo Na Uingereza
Serikali ya Urusi leo imeidhinisha na kutaja majina ya Nchi ambazo zimeonesha vitendo visivyo vya kirafiki kwa Urusi baada ya kuivamia Kijeshi ikiwemo kuiwekea vikwazo na Kampuni zake kuondoka Urusi, Serikali ya Urusi imesema inatafakari hatua ambazo itachukua kwa Nchi hizo.
Nchi zilizotajwa ni Marekani, Canada, Australia, Iceland, Japan, Monaco, Montenegro, New Zealand, Norway, Taiwan, San Marino, Singapore, Korea Kusini, Switzerland , Ukraine na Mataifa yote ya Umoja wa Ulaya ikiwemo Uingereza.
Comments
Post a Comment