PAPE OSMANE SAKHO: Kapombe Ni Rafiki Yangu
“Kapombe yuko na sifa nyingi kulingana na mahitaji ya beki wa kulia, ndio maana amekuwa akinivutia mpaka amekuwa rafiki yangu wa karibu hata tukiwa nje ya maisha ya timu.”
“Nashukuru kwa wakati huu nimekuwa kwenye kiwango ingawa sio katika ubora kama ule ambao naamini ninao bado nahitajika kujitoa zaidi na kusaidia timu.”
PAPE OSMANE SAKHO.
Comments
Post a Comment