Nimejitoa Kwenye "Ndondo" Cup Shafiih Dauda

 Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Soka nchini, Shaffih Daudi amesema kwamba amejitoa kwenye utaratibu wa kuandaa mashindano ya mpira wa miguu maarufuku kama 'Ndondo Cup' kwa sababu anatumikia adhabu ya TFF


"Nimetii mamlaka (TFF). Mnafahamu kuwa nimefungia kujishughulisha na michezo”.


Dauda alifungiwa February 16, 2022 kujihusisha na shughuli za Soka kwa kipindi cha Miaka 5 na kupigwa faini ya kiasi cha Million 6, kwa kosa la kuchapisha taarifa hisio na maadili kwenye ukurasa wake wa Instagram.


Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes