NABI BADO SIJAFIKA UBORA NINAO UTAKA
BADO SIJAFIKA UBORA NINAO UTAKA
Kocha wa mabingwa wa kihistoria Tanzania, Nasaradine Mohamed Nabi amesema kuwa kikosi chake bado hakijafika level ya ubora anao utaka yeye licha ya siku 90 alizoomba kumalizika
Nabi amesema kuwa kwa sasa kikosi kimeimarika zaidi japo bado hajafika kwenye kiwango anacho kitaka hivyo kuna kazi kubwa inatakiwa kuendelea kufanyika katika uwanja wa mazoezi.
Katika hatua nyingine wachezaji wa Yanga wanatarajia kuingia kambini Leo baada ya mapumziko ya siku moja
Yanga inajiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold utakao chezwa uwanja wa CCM KIRUMBA Mwanza.
Comments
Post a Comment