Mario Balotelli:
Mario Balotelli:
"Kama ningekuwa na akili yangu ya sasa nilipokuwa Manchester City pengine ningeshinda mpira mmoja wa dhahabu (Ballon D'or). Nina uhakika na hilo."
"Nilipokua nilijua sikupaswa kuondoka Manchester City wakati huo. Miaka yote hii City imekuwa bora zaidi. Ningeweza kuwa hapa kama Sergio Aguero kwa muda mrefu."
Comments
Post a Comment