Luis Miquisson Simba Sc Kutwaa Ubingwa Ligi Kuu Bara
Winga wa zamani wa Simba, Luis Miquissone 🇲🇿 anasema kutokana na mwenendo wa Ligi Kuu Bara ulivyo msimu huu bado timu ya Simba inaweza kutwaa ubingwa na ikautetea kwa mara ya tano mfululizo.
"Bado naipa nafasi kubwa timu yangu (Simba) kufanya hivyo lakini hata katika mashindano mengine kama kombe la Shirikisho (ASFC), nalo wanaweza kufanya vizuri na kuchukua ubingwa”
SOURCE : GOAL AFRICA.
Comments
Post a Comment