Kocha wa Simba sc aishauri (CAF) iiondoe kwenye Mashindano klabu ya RS Berkane 🇲🇦.
Waamuzi nao ni binadamu wanaweza kufanya makosa. Siwezi kusema ile ilikuwa Offside au sio offside, kama haikuwa Offside basi tulifanya makosa lakini tulikuwa na bahati"
"Vitendo vya vurugu walivyovifanya RS Berkane 🇲🇦 nawashauri (CAF) hii timu waiondoe kwenye Mashindano kwa sababu wameshindwa kuheshimu taratibu za mpira"
"Tulikuwa bora zaidi yao, tulimiliki mchezo na kutengeneza nafasi nyingi ambazo tungezitumia vizuri tungepata ushindi mnono zaidi. Tulihakikisha hatuwapi nafasi ambazo zingetuletea madhara"
"Tuliamua kutumia udhaifu wao hasa upande wa kushoto, tuliweka Wachezaji ambao wanaweza kuzuia mipira yao ya kutenga na tulifanikiwa muda mwingi wa mchezo
Comments
Post a Comment