Kocha wa RS Berkane Simba Sc Wamestahili Ushindi

 Kocha wa RS Berkane 🇲🇦


"Samahani na mambo mengi ya kuongea kama mtaniruhusu nitumie kifaransa. Ok kama haiwezekani ntatumia kingereza hivyohivyo"


"Nawapongeza Simba kwa ushindi, wamestahili, wamepata point ugenini pia nchini Niger. Tunatakiwa kusahau kilichotokea na kujiandaa na mchezo ujao, mechi imeisha tunapaswa kuwa fair"


"Nimeshindwa kupata points mara mbili katika uwanja wa Benjamin Mkapa sababu Simba ni timu bora"


"Kocha wa Simba amesema Berkane si chochote si lolote (CAF) wanapaswa waitoe kwenye Mashindano,, Kauli kama hizo ni aibu kutolewa na kocha mkubwa kama yeye, tunamtakia kila lakheri kwenye michezo yake inayofuata"



Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes