ππ€π’ππ£ πΌππ§ππ’π€π«πππ ππ¬ππ ππ¬π π«ππ π¬ππ―π€
Mali zote za Roman Abramovich zipo chini ya Serikali ya Uingereza kuanzia sasa..
Kulingana na vikwazo vipya, Chelsea itaendeshwa chini ya leseni maalum huku mfumo wa mishahara ukiwa unafuatiliwa.
•Mali zote za Roman Abramovich (Uingereza) zipo chini ya Serikali ya Uingereza
•Chelsea bado wanaweza kufanya kazi chini ya leseni maalum lakini mauzo ya jezi yamesitishwa.
•Hakuna uhamisho wa wachezaji wapya au mikataba mipya inayoruhusiwa
•Hakuna mauzo ya bidhaa yanayoruhusiwa, duka la klabu limefungwa.
•Klabu haitaruhusiwa kuuza tiketi mpya labda wale walio nunua tiketi za msimu mzima ndio wanaweza kwenda uwanjani
•Hakutakuwa na mashabiki wa ugenini siku zijazo.
• Abramovich amezuiwa kuiuza Chelsea FC na mali yake yote nchini ya Serikali ya Uingereza
•Iwapo Chelsea itauzwa, fedha hazitakwenda kwa namna yoyote kwa Abramovich
Comments
Post a Comment