Yanga Yazindua Wimbo Mpya .
Klabu ya Yanga SC imezindua wimbo mpya unaofahamika kama 'YANGA TAMU'.Wimbo huo umeimbwa na Mwanamuziki MARIOO ambaye anatamba na wimbo wa BIA TAMU.
✍️Ikumbukwe Marioo alikuwa Simba sc na mara kazaa alikuwa akishiriki katika matamasha ya Simba sc Marioo mwenye anasema kuwa sababu ya kuhama Simba sc
✍️Ni Kuwa hapendi stress hataki presha wala magonjwa ya moyo na ndomaana kahamia Yanga sc
✍️ @marioo_tz alitambulishwa na mwamasishajii wa klabu ya yanga Haji Manara ambaye pia alitambulisha wimbo kwa ajili ya mashabiki ambao umeimbwa na marioo wimbo unaitwa "Yanga Tamu" akibadilisha wimbo wake wa Bea Tamu
"Wimbo huu ni kwa ajili ya mashabiki wa" yanga sc @hajismanara
WANANCHI KAMA WANANCHI..
Comments
Post a Comment