Yanga Yampa Nabi Mkataba Mpya

 Kocha wa Klabu ya Yanga SC,Nasreddine Nabi anatarajiwa kuongeza Mkataba wa Miaka miwili Mwiahoni mwa Msimu huu wenye kipengele Cha kuongeza Mwaka Mmoja zaidi.


Uongozi wa Klabu hiyo umeshakubaliana na Kocha huyo juu ya Mkataba Mpya na Kocha huyo anatamani kuendelea kubakia Klabuni hapo kutokana na uhusiano mzuri uliopo Kati yake,Mashabiki na uongozi wa Yanga.


“Nafurahi kuwa hapa nafikiri hayo mambo ya mkataba ni vyema wakayaongelea sana uongozi,binafsi nafurahi kuwa sehemu ya Yanga najiona niko salama nikiwatumikia mashabiki wakarimu na wanaoipenda timu yao, ila hasa ninavyopewa ushirikiano na mdhamini wetu Ghalib na mwenyekiti.”


Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes