Wanawake Mnafeli Wapi?


 Sema wanawake mnahangaika sana bila hata kujionea huruma, mara p2, vipipi, pipi kifua, vidonge kurefusha hedhi n.k. 


Yote hii kwa ajili ya mwanaume ambae hapati madhara yoyote kama unayopata. Zaidi hakuoi, unakuja kwa mumeo unagundua huwezi kuzaa tena. 😢

Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes