Walace Karia Ni Uzembe Na Makusudi
"Sijui ni uzembe au makusudi na vyote vinafanyika mhanga ni mimi, maisha nayoishi mimi ni maisha ya ajabu sana, mnayofanya huko yanahamishiwa kwangu.
"Hata walivyokua wanachezesha Liunda mimi nilikua kiongozi hata siku sijawahi kumfuata mwamuzi sikua na udhubutu ingawa najua yalikuwa yanafanyika na mengine nilikua nayashughudia enzi hizo za giza.
"Anayefanya kwa kufuata kanuni tutaendelea kumlinda, kuna wengine ambo mmkeua sio waaminifu mnakwenda kutuaribia mchezo wetu. kwa makusudi kabisa.
"Kwa nini hamshirikiani au ndo mnahalalisha hayo mambo yenu mengine kwa sababu wanafuata.
"Mnatuleteaa tabu nchi nzima taharuki hasa hizo timu zenu pendwa hizo maanake pia mnazipenda ninyi, lakini mko kazini."
▪️Walace Karia - Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)
waamuzi ☝🏽
Comments
Post a Comment