Wachezaji Wa Sc Villa Wapata Ajali Ya Bus
⛑️ Klabu ya SC Villa πΊπ¬ imepata ajali ya bus kilometers 147 kutoka Kampala πΊπ¬.
- Bus hilo lilikuwa limebeba Wachezaji wakielekea Gulu kwa ajili ya mchezo wa Uganda cup dhidi ya Super eagles.
- Hakuna kifo mpaka sasa ila kuna Injuries / Kuna waliopata majeraha.
Comments
Post a Comment