UEFA imehamishia fainali ya UEFA Champions League
Official:
UEFA imehamishia fainali ya UEFA Champions League kutoka St Petersburg (Urusi) hadi Paris (Ufaransa) kufuatia mzozo wa Urusi dhidi ya Ukraine.
Fainali itafanyika kwenye Uwanja wa Stade de France Jijini Paris, Mei 28.
Comments
Post a Comment