Somalia Vs Eswatini Kukipiga Kwa Mkapa
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Somalia (SFF) limetangaza kuwa watacheza mchezo wao wa awali wa kuwania kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika (#AFCON) 2023 dhidi ya Eswatini jijini Dar es Salaam, Tanzania. Hii ni kwa sababu hawana Uwanja wowote ulioidhinishwa kucheza mechi ya kimataifa.
Comments
Post a Comment