SIMBA KUMKOSA BWALYA π¨
SIMBA KUMKOSA BWALYA π¨
.
Kocha wa Simba Pablo Franco amesema taarifa alizokuwa nazo siku moja kabla ya kusafiri wachezaji wanne hawatakuwa sehemu ya kikosi;
.
Hassan Dilunga πΉπΏ atakayekuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na jeraha lake la goti. Pablo amesema ana imani Dilunga atarejea katika majukumu yake punde, Rally Bwalya πΏπ² yupo kwao Zambia alikopata msiba, Chriss Mugalu π¨π© na Kibu Denis πΉπΏ wanaendelea na matibabu.
Comments
Post a Comment