Seleman Matola Wamuachie Simba Sc Awe Kocha Mkuu
“Hii Simba mnayoiona, wakiamua kumuachia Seleman Matola awe Kocha Mkuu, timu itaenda vizuri tu bila wasiwasi wowote, ni suala la viongozi tu kuamua.”
MECKY MEXIME.
WANA-SIMBA MNASEMAJE? AACHIWE MATOLA AU?
Comments
Post a Comment