Samwel Etoo Nimeongeza Mishahara
Tayari tangu Samuel Etoo awe Rais wa chama cha soka cha Cameroon amekamilisha baadhi ya mambo
-Viwango vya mishahara ya wachezaji wa Ligi zao
- Suala la bima kwa wachezaji ni lazima
-Suala la wachezaji wenye uraia pacha kuiwakilisha Cameroon, ameweka mifumo sahihi
Legend wa mpira amesimama kama Kiongozi bora
Vipi huko kwenu??
Comments
Post a Comment