Salim Abdallah Try again Victor Adebayor Anakuja Simba Sc.
Mwenyekiti wa bodi ya Simba sc !
"Huyu (Victorien Adebayor) ni mchezaji mzuri sana, niliongea na Rais wa klabu ya USGN 🇳🇪 akaniambia yuko hapa kwa mkopo akitokea Denmark 🇩🇰,, Huyu si mchezaji wa kurudi Denmark anatakiwa kucheza Simba SC... Nitaongea na Rais tuvunje benki"
"Simba sports club ni timu kubwa barani Africa, kwa nini isiwezekane !!"
🔍 Salim Abdallah Try again.
Comments
Post a Comment